Baada ya kunilalamikia sana hatimaye nimefikisha mke wangu kileleni, kidogo azimie

Sio kila mtu mzima ana busara kwasababu kuna MACHIZI wamezeeka.

Yaani unatutoa nduki tunakimbilia kuona jinsi mutu alivyofikishwa kileleni kumbe Hanna kitu MNALETA UZIGUA WENU HUMU. Wacha wenyewe waufute kwanza.
 
Habari wana jukwaa, natumai hamjambo!

Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,

Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa sikuu nim'tembeze nae akaone mbuga zetu,

Tulianzia Serengeti, tukaenda Ngorongoro pale oldvai na mwisho kabisa tukaupanda mlima Kilimanjaro kiukwel nanyi ndg zangu wa Tanzania tupende kutembelea vivutio vyetu

shukran ziwaendee [HASHTAG]#TANAPA[/HASHTAG]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Shem acha alalamike tu mke mwenzangu
Wanaume wengi wa huko tohara hamtaki kabisa huenda ndio sababu

Hongera kwa kutahiriwa
 
Back
Top Bottom