KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nilikutana nae mtandaoni si nikajipinda kuomba picha nikijua naopoa pisi kali kumbe pisi kombe!.. na hii ndo picha yake
Baada ya kuiona sikujibu chochote zaidi ya kumuwekea haka ka video
Tuwe makini ndugu zanguni maana matusi niliyotukanwa na huyo kibonge mpk nimeota tujipu uchungu!.