toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Na yale mashindano ya umiss jee[emoji23]Nimechekaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nilijua tu, walikuwa wanaongea kwa mahaba sana.
Eti mimi nakupenda sana hadi nimechora tattoo yako, like WTF?
Ila hilo kanisa aiseee, waumini wake wapewe tuzo maana hamna kituko ambacho hakijatokea huko na hawaambiwi juu ya Nabii!