Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Aiseee sasa ana kanisa hahahaha😂😂😂😂😂
 
Ameonna kamaliza madanga town na keshazeeka hana soko sasa kaamua kuwa tapeli wa dini. Kuna watu watakuwa kuni zetu.
 
Ameonna kamaliza madanga town na keshazeeka hana soko sasa kaamua kuwa tapeli wa dini. Kuna watu watakuwa kuni zetu.
Mbona hilo ni suala la hiyari jamani? Hakuna atakayelazimishwa kwenda kanisani anakohudumu.
 
Kwa hiyo kuokoka hua ni kama show ya kuwaonyesha wanadamu? Unatunza ushuhuda gani wakati anaye hukumu ni Mungu? Au mungu atahitaji ushuhuda wa binadamu kama vile yeye hajui? Kwani huwezi kumkataa shetani ikiwa wewe na Mungu wako tu ndio mkawa mnajua?
 
Irene kachoka sana. Ameona soko limeisha. Mbona hakuokoka miaka 15 iliyopita?😅😅😅
Una uhakika kamaliza madanga yako yote? Una uhakika hana soko? Tukimuweka Irene na mwanamke wako unahisi nani
 
Back
Top Bottom