Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Aiseee sasa ana kanisa hahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ameonna kamaliza madanga town na keshazeeka hana soko sasa kaamua kuwa tapeli wa dini. Kuna watu watakuwa kuni zetu.
 
Ameonna kamaliza madanga town na keshazeeka hana soko sasa kaamua kuwa tapeli wa dini. Kuna watu watakuwa kuni zetu.
Mbona hilo ni suala la hiyari jamani? Hakuna atakayelazimishwa kwenda kanisani anakohudumu.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ kama nawaona wale madogo wa utatu mtakatifu wa kimanga...
Na wewe uokoke mdogo wetu Niffer acha mapepe 🀣🀣🀣🀣
Hahaha
 
Kwa hiyo kuokoka hua ni kama show ya kuwaonyesha wanadamu? Unatunza ushuhuda gani wakati anaye hukumu ni Mungu? Au mungu atahitaji ushuhuda wa binadamu kama vile yeye hajui? Kwani huwezi kumkataa shetani ikiwa wewe na Mungu wako tu ndio mkawa mnajua?
 
Irene kachoka sana. Ameona soko limeisha. Mbona hakuokoka miaka 15 iliyopita?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Una uhakika kamaliza madanga yako yote? Una uhakika hana soko? Tukimuweka Irene na mwanamke wako unahisi nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…