Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
- Thread starter
- #21
Hapo kwenye fixed AC naomba bas kama unauelewa kidogo unisaidie maana naliwaza hili sana ,,,Ukimpa hela umeumia
Yaani ukijifanya mapenzi yamerudi unapigwa nankitu kizito paaaaaaap ukizinduka karudi chumbani kwake na hela huna.
Kama haina matumizi iweke fixed account au liquid ya utt