Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.

Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii mirathi anaiwinda.

Hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nini.
Huyo mpigaji tu
 
Mwambie umetapeliwa hela zote imebaki mil moja tuu uone atavyoreact
 
Muda huu tunapoongea mleta uzi analogwa hatashaurika tena, hii imeenda
 
Nunua hisa BOT utapata faida ya tsh.2,260,800 kwa mwaka kwa miaka 25
 
Back
Top Bottom