Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Ukimpa hela umeumia



Yaani ukijifanya mapenzi yamerudi unapigwa nankitu kizito paaaaaaap ukizinduka karudi chumbani kwake na hela huna.

Kama haina matumizi iweke fixed account au liquid ya utt
Hapo kwenye fixed AC naomba bas kama unauelewa kidogo unisaidie maana naliwaza hili sana ,,,
 

Be careful na matumizi

Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.

Utaishi kwa amani bila kisirani chake.

Ila zitumie vizuri sana
 
Wewe utachunwa mpaka ukome!

Mwanaume akiwa hana hela unaweza mtia hata madole akasema asante!.. ametulia kwa ajili ya hela zako zikiisha utaisoma namba nakwambia!

Cha kufanya lipotezee usilipe hata shilingi usije kujuta huko badae!
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16] kumamakkk alitaka akunyonyee hadi anal line! Ungeshangaa mapenzi ya ghafla! Afu utoe hizo mil 2 akatomb33 Malaya mwingine...

Sema we mjanja
 
Duh mkuu kua makini, kama mlifikia hadi kutengana vyumba asije kukunyonga usiku huyo.. dunia imebadilika sana.

Muombe Mungu asee maana pesa ni shetani mtu anaeza fanya chochote ili aipate, tena umemtajia nyingi hivyo... Mungu akutangulie mkuu!!
Hii nayo point
 
Dingi kakata uzi, mapenz ndo yananoga kwa mwanae...

Huenda dingi angekuepo mngeshaachanaga kitambo.

Anyway, R.I.P Baba yetu.... Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi.
 
Ukishakuwa na hela halafu hujui utaifanyia nini amini kwamba soon utajikuta hauna kitu.

Ilitakiwa wakati upo kwenye mchakato wa kuipata upange kabisa chakufanya.
Sahihi sana mkuu, nilikuwa na m9 ndani ya miezi mi 3 nimebaki na m 1.2 alafu sijui Hata imeishaje

Zaidi nimempa bi mkubwa 1.5 na sister angu kama laki 4 na kujenga kibanda (chumba kimoja) nikiwa na wazo la kufungua duka kimekamilika ila mtaji sina dadeq

Ukiwa na mpango wa kupata hela uwe na mpango mkakati wa kutumia ila hivi hivi inakata.
 
Muulize kwanzaa biashara gani na
wewe utahusika vipi.
Na Kama utampa hyo milioni 2.hakikisha hautoi nyingine kwa ajili ya hyo biashara.
"pesa huvuta mahaba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…