Baada ya kuona ufanisi wa silaha mpya ya Russia Oreshnik, naomba tujadiliane kuhusu US Military Carriers

Baada ya kuona ufanisi wa silaha mpya ya Russia Oreshnik, naomba tujadiliane kuhusu US Military Carriers

Hizo Carriers zake Kwa sasa ni mizigo tu inayo Ongeza Ukubwa wa budget sasa hivi Mataifa tishio yanapigana vita Huku wakiwa wanakunywa chai sitting room, Alicho kifanya jana Russia na kile walichofanya iran kwa Israel ni Ithibati tosha ,
Usa hawako smart kabisa wana macareier sijui kumi na personale wakutosha ambapo inaongeza tena gharam za uendeshaji na kubeba hatari kubwa sana
 
FB_IMG_17323040522161879.jpg
FB_IMG_17323040788984982.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_17323040488210636.jpg
    FB_IMG_17323040488210636.jpg
    229.9 KB · Views: 2
Mkuu zile Carriers kazi yake siyo kubeba ndege za kivita tu!
Zina mifumo ya Rada ya kutrack makombora yanayozishambulia! Zina intercepters,zina mifumo ya kurusha makombora!
Kwa kifupi ziko well equiped.
Upo sahihi lakini je Kwa Uwepo wa hyper ballistic missiles zenye Kasi kubwa na mlipuko mkubwa na umbali mrefu, ambapo rada husika na counter missiles haziwezi kuvizuia. je Bado Kuna haja ya kuwa nazo?
 
Habari za jioni Great thinkers!

Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.

Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi nilitafakari sana. Lakini kutokana na watu wengi humu jukwaani kupenda kujadili mambo kishabiki nikaamue nitulie Kwanza. Maswali yafuatayo nilijiuliza na ningependa kupata majibu humu maana ni jukwaa la Great thinkers.

1. Kati ya USA na Russia 🇷🇺 nani alikuwa mbele ya muda.

2. Je kuna uwezekano wowote ule USA kuzitumia Carriers zake endapo ataingia vitani na Russia ili zimsaidie kushinda.

Mimi binafsi naona Marekani Carriers zake ingezibadirishia tu matumizi kwasababu ukiangalia lengo ya hizo Carriers haziwezi kumsaidia katika vita ya sasa labda ipigane na nchi dhaifu lakini sio kwa RUSSIA, CHINA, NORTH KOREA pia hata IRAN nina uhakika asilimia 100 ana uwezo wa kuzizamisha mapema tu.

Soma Pia: Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

Mwisho nawashauri USA 🇺🇸 wasione aibu wazitumie tu kwa ajili ya uvuvi wa samaki kwani zitawanufaisha sana kuliko kusubiri wazitumie kwenye vita wataambulia kupata hasara tu
U.S Ageuze career zake ziwe kuni apikie kande
 
Hapo ndio naposhangaa na katika hili inaonyesha Russia 🇷🇺 ni taifa la kijeshi na watu wake wote wanafikiria kijeshi jeshi tu
RUDI KWA WAUMR ZAKO WARUSI WAULIZE HII VITA WAMEPOTEZA WATU WANGAPI KISHA NJOO NA MAJIBU SHOGAAA WEWE MFIA DINI
 
Trump kwenye kampeni zake alikuwa na kaulimbiu isemayo "make america great again" which means nowdays america is no more great. Alisema anataka kuiponya america kwa hiyo america chini ya biden iko dhoofu hali haiwezi kuhimili mikiki ya rusia. Jiulizd tu kwa nini marekani haiendi kupambana peke yake mpaka iombe suport ya mataifa ya ulaya? America inajua kuwa bila msaada itahalilika. Kama marekani inajiamini ijaribu kupambana bila msaada ione kitakachoikuta.
 
Mmeamua muanzishe uzi kumpa moyo babu yenu karim mandonga putin, sasa kama hicho kibaruti chake mnachokiita oshrink kipo active si apige basi hata hiyo carier moja tuone kama anajiamini.

Kibabu maji yamemfika shingoni hana pa kupumulia, amepewa hiyo package ya ukraine ahangaike nayo kwanza
 
Upo sahihi lakini je Kwa Uwepo wa hyper ballistic missiles zenye Kasi kubwa na mlipuko mkubwa na umbali mrefu, ambapo rada husika na counter missiles haziwezi kuvizuia. je Bado Kuna haja ya kuwa nazo?
Jamaa hakuelewa nilichomaanisha,hivyo vi interceptors ndio nilichokusudia coz hakuna hata kimoja chenye uwezo wa kuzuia Oreshnik.Yaani ukiona mwanga tu ujue kitu ndio kime hit target
 
Nyie afadhali muende kuswali kwani labda hilo ndilo linaweza kuwasaidia kwa sababu hakuna mnachokifahamu hapo.

Yaani hilo gobole la kirusi Marekani asilijue ila nyie wala ugali na kisamvu wa Manzese kwa Mfuga Mbwa ndio mlijue.

Remember, untill the lion 🦁 will learn how to write, the author will continue to glorify the hunter.
 
Habari za jioni Great thinkers!

Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.

Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi nilitafakari sana. Lakini kutokana na watu wengi humu jukwaani kupenda kujadili mambo kishabiki nikaamue nitulie Kwanza. Maswali yafuatayo nilijiuliza na ningependa kupata majibu humu maana ni jukwaa la Great thinkers.

1. Kati ya USA na Russia 🇷🇺 nani alikuwa mbele ya muda.

2. Je kuna uwezekano wowote ule USA kuzitumia Carriers zake endapo ataingia vitani na Russia ili zimsaidie kushinda.

Mimi binafsi naona Marekani Carriers zake ingezibadirishia tu matumizi kwasababu ukiangalia lengo ya hizo Carriers haziwezi kumsaidia katika vita ya sasa labda ipigane na nchi dhaifu lakini sio kwa RUSSIA, CHINA, NORTH KOREA pia hata IRAN nina uhakika asilimia 100 ana uwezo wa kuzizamisha mapema tu.

Soma Pia: Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

Mwisho nawashauri USA 🇺🇸 wasione aibu wazitumie tu kwa ajili ya uvuvi wa samaki kwani zitawanufaisha sana kuliko kusubiri wazitumie kwenye vita wataambulia kupata hasara tu
Unadhani marekani ni wajinga eeh. Kwamba watatangaza silaha na mambo yoote wanayo yategemea..? Ur stupid. America hawana huo upuuzi. Wata control mihemko kulinda siri zao
 
Back
Top Bottom