Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Mtu anaanzisha uzi alafu anajijibu mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usa hawako smart kabisa wana macareier sijui kumi na personale wakutosha ambapo inaongeza tena gharam za uendeshaji na kubeba hatari kubwa sanaHizo Carriers zake Kwa sasa ni mizigo tu inayo Ongeza Ukubwa wa budget sasa hivi Mataifa tishio yanapigana vita Huku wakiwa wanakunywa chai sitting room, Alicho kifanya jana Russia na kile walichofanya iran kwa Israel ni Ithibati tosha ,
HeheheeeeeMwisho nawashauri USA 🇺🇸 wasione aibu wazitumie tu kwa ajili ya uvuvi wa samaki kwani zitawanufaisha sana kuliko kusubiri wazitumie kwenye vita wataambulia kupata hasara tu
Mbona umetoka nje ya mada itakua wewe mmarekani wa kismayoHapo ukiambiwa uchague pa kwenda kuishi kati ya Urusi na Marekani utakimbilia Marekani.
Upo sahihi lakini je Kwa Uwepo wa hyper ballistic missiles zenye Kasi kubwa na mlipuko mkubwa na umbali mrefu, ambapo rada husika na counter missiles haziwezi kuvizuia. je Bado Kuna haja ya kuwa nazo?Mkuu zile Carriers kazi yake siyo kubeba ndege za kivita tu!
Zina mifumo ya Rada ya kutrack makombora yanayozishambulia! Zina intercepters,zina mifumo ya kurusha makombora!
Kwa kifupi ziko well equiped.
U.S Ageuze career zake ziwe kuni apikie kandeHabari za jioni Great thinkers!
Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.
Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi nilitafakari sana. Lakini kutokana na watu wengi humu jukwaani kupenda kujadili mambo kishabiki nikaamue nitulie Kwanza. Maswali yafuatayo nilijiuliza na ningependa kupata majibu humu maana ni jukwaa la Great thinkers.
1. Kati ya USA na Russia 🇷🇺 nani alikuwa mbele ya muda.
2. Je kuna uwezekano wowote ule USA kuzitumia Carriers zake endapo ataingia vitani na Russia ili zimsaidie kushinda.
Mimi binafsi naona Marekani Carriers zake ingezibadirishia tu matumizi kwasababu ukiangalia lengo ya hizo Carriers haziwezi kumsaidia katika vita ya sasa labda ipigane na nchi dhaifu lakini sio kwa RUSSIA, CHINA, NORTH KOREA pia hata IRAN nina uhakika asilimia 100 ana uwezo wa kuzizamisha mapema tu.
Soma Pia: Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe
Mwisho nawashauri USA 🇺🇸 wasione aibu wazitumie tu kwa ajili ya uvuvi wa samaki kwani zitawanufaisha sana kuliko kusubiri wazitumie kwenye vita wataambulia kupata hasara tu
RUDI KWA WAUMR ZAKO WARUSI WAULIZE HII VITA WAMEPOTEZA WATU WANGAPI KISHA NJOO NA MAJIBU SHOGAAA WEWE MFIA DINIHapo ndio naposhangaa na katika hili inaonyesha Russia 🇷🇺 ni taifa la kijeshi na watu wake wote wanafikiria kijeshi jeshi tu
Jina lake anajiita Maharage ya ukweni, unategemea atakuwa na elimu yoyote ya mambo ya kijeshi ?Kabla ya kujadili una elimu mkuu ya mambo ya vita? Uko nchi gani Tanzania au Marekani? Uliwahi kwenda operesheni yoyote ya kijeshi?
Jamaa hakuelewa nilichomaanisha,hivyo vi interceptors ndio nilichokusudia coz hakuna hata kimoja chenye uwezo wa kuzuia Oreshnik.Yaani ukiona mwanga tu ujue kitu ndio kime hit targetUpo sahihi lakini je Kwa Uwepo wa hyper ballistic missiles zenye Kasi kubwa na mlipuko mkubwa na umbali mrefu, ambapo rada husika na counter missiles haziwezi kuvizuia. je Bado Kuna haja ya kuwa nazo?
Unadhani marekani ni wajinga eeh. Kwamba watatangaza silaha na mambo yoote wanayo yategemea..? Ur stupid. America hawana huo upuuzi. Wata control mihemko kulinda siri zaoHabari za jioni Great thinkers!