Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.