Baada ya kuondoka Hayati Magufuli tumebakiwa na Tundu Lissu, vijana tujifunze uzalendo

Munaanza kujikosha Kwa jpm ili eti mshawishi wananchi wanaompenda na walimlilia kipenzi Chao jpm. Eti na nyie kwasa mtajikosha eti mnasimama na magufuli mkidhani hatujui mlivyoshangiria. Hatuja wasahau. Huyo jamaa yenu alizunguka Dunia nzima kumtukana, Leo hiii anajikosha eti afadhali ya jpm, tangu lini akamsema vizuriii, hatuja sahau kauli zenu.
Pitia post zangu uona kama kuna popote najipendekeza kwa yule shetani. Sintokaa nifanye huo upuuzi. We kama ni muumini wa dhalimu wala usiwape cdm kura yako maana hawaihitaji.
 
Acha kumlinganisha magufuli shujaaa na vitu vya ajabu ajabuu
Kwa uzito wa suala linalotukabiri hivi sasa, inafaa tusahau, ingawa kwa muda tu, tofauti tulizonazo, tuunge juhudi zetu kuliweka sawa hili suala la bandari. Tusizoofishe juhudi hizo kwa malumbano ya mtazamo wa kisiasa. Tushughulikie kwanza hili suala la kitaifa kuokoa mali za taifa letu. Mali yetu ikipotea tutakuwa tumepoteza wote bila kujali msimamo wako wa kisiasa ukoje.
 
Hatutakiiii huyo msaliti wa Taifa amzungumzie shujaaa wetu magufuli. Hatuwezi kusahau matusii aliyomtukana. Kwanza asitukumbushee. Yeye abakie na msimamo wake ule ule. Hatutaki ajikosheee. Wakati jpm anahangaika na madini huyo jamaa yenu si alikuwa upande wa mabeberuu na kuwatetea. Halafu eti Leo anajifanya tumuone ni mzalendo wa Taifa hili, tangu liniii?? Ujue Bado watu wanahasira, kwanza mwambieni asilitaje taje jina la shuja wetu jpm. Apambane na Hali yakee,
 
Wewe leo hii ni kuwamsifia Tundu lissu na kumuita mzalendo...hahaahaa, sie wewe uliekuwa unashangilia kupigwa lisasi Tundu lissu au unahisi nimesahau mkuu
 
Habari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-

1. Ni watu wenye misimamo

2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .

Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.

Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.​
Ngoja uvccm waje wakiongozwa na choiceVariable!!
 
Hatutakiiii huyo msaliti wa Taifa amzungumzie shujaaa wetu magufuli. Hatuwezi kusahau matusii aliyomtukana. Kwanza asitukumbushee. Yeye abakie na msimamo wake ule ule. Hatutaki ajikosheee. Wakati jpm anahangaika na madini huyo jamaa yenu si alikuwa upande wa mabeberuu na kuwatetea. Halafu eti Leo anajifanya tumuone ni mzalendo wa Taifa hili, tangu liniii?? Ujue Bado watu wanahasira, kwanza mwambieni asilitaje taje jina la shuja wetu jpm. Apambane na Hali yakee,
Umeandika kiushabiki na chuki!! Ni vzr ungeweka ushahid ni vp alikua anatetea mabeberu na matusi aliyotukana!! NB: Tatizo la wabongo hawataki kuambiwa ukwel na hata ukisema ukwel wanataka useme ukwel kwa kauli tam tam while LISSU hana unafiki huo!!!
 
Sasa kama alikuwa anasema ukweli iwejee Leo ajikosheee, abakie huko huko Kwa mabeberu wake,
 
LISSU hana unafiki kweny kukosoa anakosoa haangalii ww nan penye kusema ukwel anasema bila kujali ulimkosea ama la!! Kwahiyo ww endelea na huo ujinga wa kuita mabeberu wakati bila wao hampati msaada wa kimaendeleo wala budget ya Taifa maan wao hutoa msaada wa budget hata JPM akiwepo!!
 
Sasa hatutaki abaki na msimamo wake asitukeree, eti Leo hiii anajikosha ilituone kwamba yeye anapigania rasilimali za nchi, tangu liniii, wakati tunahangaikia madini alitutisha ATI tutashitakiwa MIGA, akazunguka Dunia yote kumunanga shujaaa wetu. Halafu eti Leo hiii anamtaja, abaki na majaa zake uko ukoo.
 
Tatizo kubwa la Tanganyika ya leo watu wengi sio Watanganyika kwa kuzaliwa, wengi ni Watanzania wa makaratasi hivyo hawana ule uzalendo kabisa, hivyo mambo yakiharibika wanarejea makwao maana wapo Nchini kwa masirahi binafsi. TUJITAFAKARI
 
Naamini kabisa Kama Huko aliko anaona amejua mtu ambaye angeweza kwenda nae sambamba ni Lissu, tumeona sura za kina Majaliwa, Polepole, TULIA na wengine aliowaamin shida aliyoipinga Lissu kwa Magu ni ule udikteta uchwara.
 
Sasa hatutaki abaki na msimamo wake asitukeree, eti Leo hiii anajikosha ilituone kwamba yeye anapigania rasilimali za nchi, tangu liniii, wakati tunahangaikia madini alitutisha ATI tutashitakiwa MIGA, akazunguka Dunia yote kumunanga shujaaa wetu. Halafu eti Leo hiii anamtaja, abaki na majaa zake uko ukoo.
Unajua upo kishabiki bila ku reason mamb, LISSU alitahadharisha kisheria, kila hua anatoa angalizo kisheria. Lkn wabongo hua wanaamin ktk uhaba than sheria.
 
Back
Top Bottom