Acha kumlinganisha magufuli shujaaa na vitu vya ajabu ajabuuHabari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.
Kutoka kwenye kumtuhumu kuwa anashabikia ushoga Hadi kumuita mzalendo? Acheni MUNGU aitwe MUNGU.Habari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.
Magufuli hamfikii Lissu hata Kwa 0.1% tuweni wakweli wa nafsi. Lissu Yuko ulimwengu mwingine kabisa aiseeee.Habari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.
Kama alikuwa Mzalendo mlikuwa mnamuwinda wa nini? Sukuma gang bwana 😁😁Habari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.
Mna ushahidi wa kuwindwa ?Kama alikuwa Mzalendo mlikuwa mnamuwinda wa nini? Sukuma gang bwana 😁😁
Ntamfuatilia mkuuTanzania watu tunao sema tu basi kuna mwamba anaitwa Boniface Mwabukusi wakili huyo katafute interview zake jamaa amenyooka sana fully confidence yuko smart sana
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wafia nchi wa wapi, hakuna kitu hapo. Aliwanyima watumishi wa umma haki yao ya kisheria hofu awe mfia nchi, nchi gani hiyo labda isiyo na watumishi wa umma. Lisu anayetamba wanawe wana uraia wa usa hivyo yeye amani ya tz haimuhusuHabari jf , Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo mengi sana.
Ni kweli Lisu ni MbelgijiMagufuli hamfikii Lissu hata Kwa 0.1% tuweni wakweli wa nafsi. Lissu Yuko ulimwengu mwingine kabisa aiseeee.
Dominica njema
Mnaanzaga hivi hivi halafu mumtungue tena Lisu wa Watu!Kama alikuwa Mzalendo mlikuwa mnamuwinda wa nini? Sukuma gang bwana 😁😁
Hivi neno shujaa huwa mnalichukuliaje ninyi wapwa wa "maliyemu"?Acha kumlinganisha magufuli shujaaa na vitu vya ajabu ajabuu
Hata mimi nimeshangaa huyo jamaa kumfananisha Lisu na shetani.Acha kumlinganisha magufuli shujaaa na vitu vya ajabu ajabuu
Muulize LisuMna ushahidi wa kuwindwa ?
Huna sadaka ujueNi kweli Lisu ni Mbelgiji
Dominica njema!
Munaanza kujikosha Kwa jpm ili eti mshawishi wananchi wanaompenda na walimlilia kipenzi Chao jpm. Eti na nyie kwasa mtajikosha eti mnasimama na magufuli mkidhani hatujui mlivyoshangiria. Hatuja wasahau. Huyo jamaa yenu alizunguka Dunia nzima kumtukana, Leo hiii anajikosha eti afadhali ya jpm, tangu lini akamsema vizuriii, hatuja sahau kauli zenu.Hata mimi nimeshangaa huyo jamaa kumfananisha Lisu na shetani.
Muulize huyo kanjanja wenu anayejikosha.Hivi neno shujaa huwa mnalichukuliaje ninyi wapwa wa "maliyemu"?