Baada ya kuonekana ndani ya IST, Wanazengo wamshutumu Mama Diamond ushirikina

Kwa hyo Umehamua kuwanga wambea wenzako sio
 
Kuna watu wanapenda tu kuishi "lowkey" hata kama wana pesa kiasi gani.. Mimi personally siwezi mshangaa, Kuna mzee mmoja mtaani yeye ana pesa, wanae wakiume wote wana pesa vibaya mno, binti yake anafanya kazi US na kaolewa huko, ila huyu mzee siku zote utamkuta na ki IST chake, au pikipiki yake kama boda boda japokuwa kwenye parking kuna gari zaidi ya 6 na zote za gharama tu.. ni maisha tu ya kawaida ambayo mtu anaamua kuishi
 
Wee mpwa bado tyuh hujamjua mama domo? Huyo anatafuta tu kuzungumziwa, mxieeeeew Zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…