Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Mwanaume vipi?Sorry we ni me au ke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume vipi?Sorry we ni me au ke?
Ila mimi nakubari mastory yako maana wewe ni mkongwe wa hili jukwaa hadi ukatengeneza neno la ubuyu.
Kwa hyo Umehamua kuwanga wambea wenzako sioVideo inayozagaa kwa sasa , ikumuonyesha Mama Diamond akipanda gari aina ya IST huku pembeni parking ikiwa imejaa magari ya kifahari, imezua hali ya sintofahamu kwa wapenda ubuyu na kuuliza kulikoni Mama wa star nambar one bongo apande gari hiyo ambayo mara nyingi inatumiwa kama Uber mjini .
Usafiri huo ambao ulikua unaendeshwa n mume wake uncle shamte umezua minon’gono mjini huku watu wakidai huenda hayo ni masharti ya Mganga ambayo anafuata.
Mwaka Jana kwenye birthday ya mama huyo , alizawadiwa gari aina ya V8 yenye thaman ya mamillion ya kutosha, hivyo wadau walishtuka why Mama huyo mpenda mashauzi mjini aamue kutumia usafiri bubu....
Ila wanazengo na nyie acheni nongwa, sasa hiyo V8 mlitaka awe anaenda nayo kila sehem? Isitoshe ligari linaboa , ni kubwa n na ina consume too much diesel , it’s not comfortable kila sehem kutembea nalo hata kama ana misele yake ya hapa na pale .
Kuhusu mama D kutumia usafiri huo nadhan ni maamuzi tu , sidhan kama ni mambo ya ushirikina ingawa bi kidude inajulikana ni mshirikina mzuri tu .