Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
 
1731424381089.png
 
Bila kujali mali zake alizipataje lakini ameviacha vyote.

Watabaki wanatafuna wale ambao hawakutoa jasho hata siku moja. Na hao ndio wajanja
 
Watu wenye hela wanapenda viwanja vikubwa kuanzia 2000sqm hadi 5000sqm na zaidi.

Izi ishirini kwa ishirini ni dalili ya kukosa hela tu.
Mkuu hata uwe na suruali 200 kwenye kabati hakuna siku utqvaa mbili mbili kwa pamoja.

Wazungu wana hela ila wanaishi kwa kiasi. Pesa inayozidi wanatoa misaada ndio hizi pesa tunazoletewa misaada kuchimba vyoo, Shule bure, matibabu ya TB HIV bure, miradi ya matibabu kwa Mama na Watoto bure.

Sisi wafrika tunawekeza kwenye umimi na Ubaltazsar.

Ndio maana hatuendelei. Uchoyo hauleti maendeleo hata siku moja
 
Duh! Ila kulinganisha uchumi wa Usa na Tanzania ni kuonea mno. Ni ukubwa wa tembo na sisimizi
GDP ya USA ni $29 Trillion USD
GDP ya Tanzania ni $79 billion USD
 
Back
Top Bottom