Baada ya kupata Chakula unapenda kushushia na kinywaji gani?

Baada ya kupata Chakula unapenda kushushia na kinywaji gani?

[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Usishangae, ni kujaribu kila kitu
Natamani mtu afungue juice za hivyo
20190312_184114.jpeg


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nitajaribu huwa ninatengeneza carrot na cucumber ninachanganya na apple juice asubuhi
Safi sana wow
Tena asubuhi
Unajipenda sana, mimi labda weekend ndio najipendelea zaidi hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom