Baada ya kupata Chakula unapenda kushushia na kinywaji gani?

Baada ya kupata Chakula unapenda kushushia na kinywaji gani?

Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?

Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.

CC Zero IQ
Napendelea Juisi ya Ukwaju na Maji Lita 1 baridi.
 
Hapa tunadanganyana tu.Asilimia kubwa huwa tunabugia maji ya kudownload bombani.Ninyi wa juisi na gongo ni asilimia ndogo sana.
 
Back
Top Bottom