interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
.Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?
Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.
CC Zero IQ
😂😂😂😂😃Nashushia na wali, sisi kwetu wali ni kinywaji
kwenu wp nije kuwatembelea mkuuNashushia na wali, sisi kwetu wali ni kinywaji
like me! more than addictedNimekuwa mtumwa wa pepsi, I need psychological interventions [emoji39]
Hahaha, umesema suala la kusahau kunywa maji ukanigusa, huwa nafuata ile formula 'usinywe maji mara baada ya mlo'.. nikisema ninywe baadaye ndo 'kwaheri mwalimu'.!!Wale baada ya kula tunaosahau kunywa maji tunaenda kuvuta bangi tunakometi wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaambiaga watu kuwa pepsi is addictive...wanabisha!Nimekuwa mtumwa wa pepsi, I need psychological interventions [emoji39]
Huwa nashushia na unyumba ingalau goli moja.Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?
Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.
CC Zero IQ
Haya maji naona yanatrend sana sasa hivi!!!
Yana bonge la ladha mkuuHaya maji naona yanatrend sana sasa hivi!!!
nicheki pm nitakuelekezakwenu wp nije kuwatembelea mkuu