Baada ya kupata scholarships kuja kusoma huku majuu nilisema sitakuja kurudi na kuishi Bongo

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Hivi mnawezaje kuishi bongo, nchi ina kila aina ya changamoto na siasa majitaka, hiyo nchi inakwaza sana.

Baada ya kupata scholarships kuja kusoma huku majuu nilisema sitakuja kurudi na kuishi Bongo nikasema bora niende Somalia kuliko kurudi huko bongo. kwanza hiyo nchi imejaa watu ambao wivu wmeweka mbele, maslahi ya watumishi wa umma ni madogo na watu wa umma hawajaliwi nikaona better niende Somalia kuliko kurudi Bongo

Kwasasa niko Wisconsin huku yes naenjoy maisha, nakula ninachotaka, naendesha ndinga Kali na naishi na mtoto mkali wa ki irish lizzy Mack Henry nyie mpo tu mnapambana na wanawake wenu wapiga vibomu.

jitutumue kuja hata huku state za kimasikini kama Kentucky, Mississippi, Mississippi, luisiana.
 
Sasa Msomi mbona unaandika kama bata?

Msomi hiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Mzikwe huko huko,hii nchi unayosema ni uchafu wengi wenu mnarudi mko kwenye buti la ndege kama mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…