kafuta ambele
JF-Expert Member
- Aug 7, 2017
- 290
- 804
Acha kutubagaza kaka hata hapa bongo kuna watu wanaishi kama wapo yuesiei nenda mbweni utajionea
Wewe itakuwa ulinyimwaga visa.Mnatupa sana tabu mkirudi haijulikani ni wazee ama vijana,mmezeekea huko na kutoboa masikio,huko majuu siku hizi hamtupi tabu mna maisha magumu kishenzi
Visa ya kazi gani mzee huku maisha ya bata,sana sana unachomiliki hapo ni Headphones kubwaWewe itakuwa ulinyimwaga visa.
Lakini dollar 2000 sikosi mfukoni na iPhone mkononi na backpack original mgongoni. Chini mguu mkali Jordan air original maamae.Visa ya kazi gani mzee huku maisha ya bata,sana sana unachomiliki hapo ni Headphones kubwa
Ukifa huzikwi huko unawekwa kwenye buti la ndege kama kifusiLakini dollar 2000 sikosi mfukoni na iPhone mkononi na backpack original mgongoni. Chini mguu mkali Jordan air original maamae.
Tafuna nyembe
Nyau de adriz The Consigliere
😅😅wivu huu masterMnatupa sana tabu mkirudi haijulikani ni wazee ama vijana,mmezeekea huko na kutoboa masikio,huko majuu siku hizi hamtupi tabu mna maisha magumu kishenzi
Wengine tushasau kuwa tupo US.Watu wa yues hawanaga kelele za kishamba hivi!