Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Imeandikwa wale wenye hekima tu ndio watakao okolewa tubu basi hiyo siku ijapokuwa ndio mwisho usije ukaangamia kwa kukosa maarifaapatwe tu aina noma
Hayo yote tayari yamekwish kuwako unafikiri elon musk anaweza kushinikiza mataifa yafuate kauli zake ? huu ni upotoshaji mkuuunyakuo umekalibia, iko wazi,
sasa watakao baki wataiona show ya kupokea chapa ya Mpinga Kristo,
Hakuna kuuza wala kununua bila chip ya Elon Musk 😂😂😂😆 round hii ya pili kutoboa ni kisanga
Sie wengine tutakua tunasubili Yerusalemu Mpya ishushwe
Ufunuo wa Yohana 21:1-3
1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.
2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Umejiandaaje kukaa motoni milele?unyakuo umekalibia, iko wazi,

yapi hayo yametokea tayari ???Hayo yote tayari yamekwish kuwako unafikiri elon musk anaweza kushinikiza mataifa yafuate kauli zake ? huu ni upotoshaji mkuu
imeandikwa
Hakuna mamlaka atakayoachiwa mtu yoyote baada ya ufalme wa nne, mamlaka na ufalme watapewa watu watakatifu. hivyo madai ya elon musk kutawala dunia ni upotoshaji na uongo.
Mimi siachwi nakwambia kwenye unyakuo nimoooUmejiandaaje kukaa motoni milele?
Umenijia na habari sijui za cheap ya elon musk Sifikirii kama unakijua unacho kiongea au unaufahamu na hilo fungu hivyo sita kujibu kitu mpaka hapo.ya
yapi hayo yametokea tayari ???
Kuna unyakua..
Na kuna Kurudi kwa Yesu...
Ufunuo wa Yohana 19:19-21
19 Kisha nikamwona huyo mnyama, na wafalme wa nchi, na majeshi yao, wamekutana kufanya vita na yeye aketiye juu ya farasi yule, tena na majeshi yake.
20 Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;
21 na wale waliosalia waliuawa kwa upanga wake yeye aliyeketi juu ya yule farasi, upanga utokao katika kinywa chake. Na ndege wote wakashiba kwa nyama zao.
Baada ya Utawala wa Yesu miaka Elfu 1000 unajua nini kinafatata ..?
Mkuu mimi sistahili unyakuo huo ninashudia na ninaona dhambi ni nini ? ninaona dhambi inavyowatesa watanzania kwa kuminywa haki zao, ole wangu mimi niliyekulia katika nchi yenye watu wachafu nikanyage maeneo matakitifu na maskani ya mungu sipo tayari kuchafua maskani ya mungu.Mimi siachwi nakwambia kwenye unyakuo nimooo
Mie uhakika nimo. Nimepewa lonja ,Mimi siachwi nakwambia kwenye unyakuo nimooo
Ikulu ijapokua ni nyekundu kwa damu itasafishwa na kuwa nyeupe kama theruji amini hili ndilo neno la Bwana. na halita kawia.Mkuu mimi sistahili unyakuo huo ninashudia na ninaona dhambi ni nini ? ninaona dhambi inavyowatesa watanzania kwa kuminywa haki zao, ole wangu mimi niliyekulia katika nchi yenye watu wachafu nikanyage maeneo matakitifu na maskani ya mungu sipo tayari kuchafua maskani ya mungu.