Baada ya kupatwa kwa mwezi sasa kupatwa kwa jua kutatokea 21 Septemba 2025

Kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi,imeshatokea mara nyingi tu toka kuumbwa kwa Dunia,

Sasa iweje wewe utafsiri kua ndio mwisho wa Dunia utafikiri vile hili tukio ndio mara ya kwanza kutokea?
 
Elimu mkuu ni tatizo, nashangaa mtu anashindwa kuelewa mambo kama haya SI mra ya kwanza kutokea na ukute ni mtu mzima kabisa unamheshimu🤣
 
Elon Musk sio Mtakatifu?
 
Hii sijaiona au ilitokea asubuhi maana jioni jua lime zama vizuri tu
 
Uongo mbona hatujaona chai jaba
Tumpigwa tatepa ndio yaleyale ya mwisho wa dunia ila ya mwezi niliona tena nilikua sina habari kuna jamaa ndio akaniambia angalia mwezi umekamatwa kule
 
Walokore ni vichaa wanaotembea wao kila kitu ni dalili za siku za mwisho, siku za mwisho ni ww utakapokufa basi
 
Kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi,imeshatokea mara nyingi tu toka kuumbwa kwa Dunia,

Sasa iweje wewe utafsiri kua ndio mwisho wa Dunia utafikiri vile hili tukio ndio mara ya kwanza kutokea?
mimi mwenyewe namshangaa huyo pimbi!! Maana kipindi nipo primary enzi za magu hayo matukio yalitokeaga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…