Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

Vioo ni viongo sana mpaka huwa najiuliza kwanini wasilete cm zinazo piga picha kama kioo
IMG_20241126_184044_923.jpg
 
Uzee ni dawa, mzee ni baraka, uzee ni shukrani kwa Mungu kwamba amekuchagua na wewe uishi uishi miaka mingi uone mengi. Jiandae zaid baada ya miaka 10 ijayo upumzke kufurahia matunda yako. Bado una nafasi ya kurekebisha makosa ya jana wako.
Inabidi awe mzee mwenye pesa sasa ndio izo baraka na matunda unayo yasema ata yaona ,vinginevo ataesabiwa kua ni mjinga fulan tu alozeeka 😃😃 tena anaweza akatuhimiwa na uchawi kabisa,
 
Achana na uo uzee,pambania kubunda tu ujana unakuja automatic ,ukipiga passport tena mwenyewe itafurahi,umaskini ni m'baya sana mwili wako mwenyewe unakugeuka
 
Back
Top Bottom