wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Saivi unakuta yuko na katoto kalitoTafuta hela mkuu, uzee kwisha
Ndo hivyo tena tutafanyaje sasa..tusubir kuitwa babu tusikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile
nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale.
Kioo kinadanganya sana sana maana kwenye kioo akili inakuambia wekakichwa hivi, Kenya kidogo n.kYaani kioo kikudanganye lakini picha ikuoneshe uhalisia?
Elimu ya fizikia umeisoma wapi mzee?
Plain Mirror image is virtualYaani kioo kikudanganye lakini picha ikuoneshe uhalisia?
Elimu ya fizikia umeisoma wapi mzee?
Inabidi awe mzee mwenye pesa sasa ndio izo baraka na matunda unayo yasema ata yaona ,vinginevo ataesabiwa kua ni mjinga fulan tu alozeeka ππ tena anaweza akatuhimiwa na uchawi kabisa,Uzee ni dawa, mzee ni baraka, uzee ni shukrani kwa Mungu kwamba amekuchagua na wewe uishi uishi miaka mingi uone mengi. Jiandae zaid baada ya miaka 10 ijayo upumzke kufurahia matunda yako. Bado una nafasi ya kurekebisha makosa ya jana wako.
Hiv,i uko serious!sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile
nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale.
kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
Labda kioo chake ni kidogo yaani kile cha kufunga jicho moja ndio ajione vizuriYaani kioo kikudanganye lakini picha ikuoneshe uhalisia?
Elimu ya fizikia umeisoma wapi mzee?