Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis Mkanula.

Tunatambua na kuthamini jitihada walizofanya katika kuboresha utendaji wa timu yetu na tunamshukuru kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoongoza timu yetu.

Tunamtakia Kocha Mecky Maxime na wasaidizi wake kila la kheri.

Imetolewa na Mtendaji Mkuu Mbeya City FC

1776398916837.png
 
Huo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.
 
Afadhali waondoke wametudhalilisha sana wana mbeya...timu wameiacha kwenye nafasi mbaya sana...acha waende tu hawafai kabisa
 
Huo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.
Hivi sisi tulipotandikwa zile 5 na yanga kiongoz gan alichukua rushwa

Inaenda mwaka wa 3 huu hatujaofunga yanga na tunataka timu nyingine ziifunge

Tutengeneze timu yetu KWANZA tuache kuwabebesha wengne mizigo tuliyoishindwa sisi
 
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...🚮🚮🚮
 
Mbona kama mecky alipokea hcho kidogo, kwa nini mnamuonea wivu?

Mbona makolo amepokea hela za yanga mara sita mfululuzo akiwa na makocha wageni tena wazungu, meck hakuwaonea wivu?

Tatzo timu zingne zinajiona kuwa na hati ya milki ya kufungwa na yanga,
-jamani kila timu inayoshiriki ligi kuu tanzania kwa siku za hv karibuni inayo haki ya kufungwa na yanga, siyo makolo tu, hivyo msione wivu.
 
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...[emoji706][emoji706][emoji706]
Kuna watu ikifika Simba na Yanga, uwezo wa kufikiria hupungua. Mbeya City imeshinda michezo 4 pekee tokea msimu umeanza, sasa ni kipi kikubwa cha kuifanya Yanga iwahonge ndio ishinde, ilihali ni timu inayotandikwa na kila timu?
 
Si ukafungue kesi sasa kama ushahidi unao, mbona unakuwa mbumbumbu kiasi hiko?
Kesi inafunguliwa wapi? Ujinga tu mnafuga.

Litimu la ******* sana hili na viongozi wasio na maono. Haiwezekani uwe Bingwa wa NBC League miaka 4 mfululizo halafu kwenye CAF Championship hujawahi kufika Quarter finals.

SSC ambayo haijapata ubingwa kwa miaka 4 ina rank # 5 kwenye club bora Afrika. Yote haya mabwege wapenda Yanga hamuwezi kuyaona. Hersi kawapumbaza akili zenu na supu ya ng'ombe
 
Hivi sisi tulipotandikwa zile 5 na yanga kiongoz gan alichukua rushwa

Inaenda mwaka wa 3 huu hatujaofunga yanga na tunataka timu nyingine ziifunge

Tutengeneze timu yetu KWANZA tuache kuwabebesha wengne mizigo tuliyoishindwa sisi
Try Again aluchukua rushwa. Kwa wachezaji alichukua Aishi Manula na Henock Inonga. Nimekujibu japo wewe ni mwana UTOPOLO unayejifanya ni Mnyama.
 
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...🚮🚮🚮
Asante Mkuu kwa kuliona hili ambalo ma kocha wetu wajinga na marefa hawalioni
 
Mbona kama mecky alipokea hcho kidogo, kwa nini mnamuonea wivu?

Mbona makolo amepokea hela za yanga mara sita mfululuzo akiwa na makocha wageni tena wazungu, meck hakuwaonea wivu?

Tatzo timu zingne zinajiona kuwa na hati ya milki ya kufungwa na yanga,
-jamani kila timu inayoshiriki ligi kuu tanzania kwa siku za hv karibuni inayo haki ya kufungwa na yanga, siyo makolo tu, hivyo msione wivu.
Usivae mawani ya mbao hata kama huna akili kichwani. Yanga iliyokuwa moto ni ile ya Fiston Mayele na iliyofuata ya Aziz Ki ambayo ilipiga besela mechi ya Mamelodi Sundowns.

Baada ya hapo Yanga inatembeza hela kwa marefa na mabeki tu
 
Kuna watu ikifika Simba na Yanga, uwezo wa kufikiria hupungua. Mbeya City imeshinda michezo 4 pekee tokea msimu umeanza, sasa ni kipi kikubwa cha kuifanya Yanga iwahonge ndio ishinde, ilihali ni timu inayotandikwa na kila timu?
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...
 
Hayo magoli mengi wanayofunga yanga ndo yamenifanya nione timu nyingine zinafunga kwa kubahatisha tu na kutuongezea pressure mashabiki

Imenifanya nikapunguza masuala ya mpira hasa kuangalia LIVE
 
Usivae mawani ya mbao hata kama huna akili kichwani. Yanga iliyokuwa moto ni ile ya Fiston Mayele na iliyofuata ya Aziz Ki ambayo ilipiga besela mechi ya Mamelodi Sundowns.

Baada ya hapo Yanga inatembeza hela kwa marefa na mabeki tu
Wewe ambaye umevaa miwani safi, tutajie marefa na mabeki waliopokea hzo hela yanga!
Halafu mm nitakupa namba za mabosi wa takukuru ili usaidie mpira wetu uwe safi kuliko kulia lia mitandaoni
 
Hata kocha wa simba karibuni atafukuzwa kazi ndio mseme vizuri sasa. Yaan timu ya 3 toka nyuma inunuliwe na yanga. Kama hujui mpira hujui tu.
 
Back
Top Bottom