Ndio uwezo wako wa akili umeishia hapa kabisa?Maxime ni DUKA kitambo, Nizar naye ni mchezaji wao Jangwani, walitegemea nini? Labda walichokosea wamelegeza sana 😂
Huo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis Mkanula.
Tunatambua na kuthamini jitihada walizofanya katika kuboresha utendaji wa timu yetu na tunamshukuru kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoongoza timu yetu.
Tunamtakia Kocha Mecky Maxime na wasaidizi wake kila la kheri.
Imetolewa na Mtendaji Mkuu Mbeya City FC
Hivi sisi tulipotandikwa zile 5 na yanga kiongoz gan alichukua rushwaHuo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...🚮🚮🚮Huo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.
Mbona kama mecky alipokea hcho kidogo, kwa nini mnamuonea wivu?Huo ndiyo mwisho wa akili za makocha wa Tanzania. Yaani CV ya Mexime yote ya kuchezea Mtibwa Sugar, Taifa Stars na kuwa Team captain anaridhika kupokea hela ya Enginer Hersi ili aiuzie mchezo Yanga!! Makocha wa nchi za nje including Burundi wataendelea kuchukua kandatasi za club za Tanzania kila mwaka kwa sababu wa kwetu hawana upeo na akili. Fvck you Mecky Mexime Fuvk Engineer Hersi.
Kuna watu ikifika Simba na Yanga, uwezo wa kufikiria hupungua. Mbeya City imeshinda michezo 4 pekee tokea msimu umeanza, sasa ni kipi kikubwa cha kuifanya Yanga iwahonge ndio ishinde, ilihali ni timu inayotandikwa na kila timu?Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...[emoji706][emoji706][emoji706]
Kesi inafunguliwa wapi? Ujinga tu mnafuga.Si ukafungue kesi sasa kama ushahidi unao, mbona unakuwa mbumbumbu kiasi hiko?
Try Again aluchukua rushwa. Kwa wachezaji alichukua Aishi Manula na Henock Inonga. Nimekujibu japo wewe ni mwana UTOPOLO unayejifanya ni Mnyama.Hivi sisi tulipotandikwa zile 5 na yanga kiongoz gan alichukua rushwa
Inaenda mwaka wa 3 huu hatujaofunga yanga na tunataka timu nyingine ziifunge
Tutengeneze timu yetu KWANZA tuache kuwabebesha wengne mizigo tuliyoishindwa sisi
Asante Mkuu kwa kuliona hili ambalo ma kocha wetu wajinga na marefa hawalioniHalafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...🚮🚮🚮
Usivae mawani ya mbao hata kama huna akili kichwani. Yanga iliyokuwa moto ni ile ya Fiston Mayele na iliyofuata ya Aziz Ki ambayo ilipiga besela mechi ya Mamelodi Sundowns.Mbona kama mecky alipokea hcho kidogo, kwa nini mnamuonea wivu?
Mbona makolo amepokea hela za yanga mara sita mfululuzo akiwa na makocha wageni tena wazungu, meck hakuwaonea wivu?
Tatzo timu zingne zinajiona kuwa na hati ya milki ya kufungwa na yanga,
-jamani kila timu inayoshiriki ligi kuu tanzania kwa siku za hv karibuni inayo haki ya kufungwa na yanga, siyo makolo tu, hivyo msione wivu.
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...Kuna watu ikifika Simba na Yanga, uwezo wa kufikiria hupungua. Mbeya City imeshinda michezo 4 pekee tokea msimu umeanza, sasa ni kipi kikubwa cha kuifanya Yanga iwahonge ndio ishinde, ilihali ni timu inayotandikwa na kila timu?
Huna akili wa kolosengeremaMaxime ni DUKA kitambo, Nizar naye ni mchezaji wao Jangwani, walitegemea nini? Labda walichokosea wamelegeza sana 😂
Wewe ambaye umevaa miwani safi, tutajie marefa na mabeki waliopokea hzo hela yanga!Usivae mawani ya mbao hata kama huna akili kichwani. Yanga iliyokuwa moto ni ile ya Fiston Mayele na iliyofuata ya Aziz Ki ambayo ilipiga besela mechi ya Mamelodi Sundowns.
Baada ya hapo Yanga inatembeza hela kwa marefa na mabeki tu
Hatari sanaMwanetu umekalia kitu kigumu huku unaongea ungenyanyuka kwanza hapo uchomoe hicho kitu ulichokalia kisije kikakuumiza