Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

Wewe ambaye umevaa miwani safi, tutajie marefa na mabeki waliopokea hzo hela yanga!
Halafu mm nitakupa namba za mabosi wa takukuru ili usaidie mpira wetu uwe safi kuliko kulia lia mitandaoni
TAKUKURU ipi? Hii ya Tanzania? Waambie kwanza wachuhukue ripoti ya CAG Charles Kicheere wakawakamate wale waliofisadi mabilioni ya Tsh huko ATCL, SGR na Halmashauri.

Nani alikuambia TAKUKURU ni chombo cha kuzuia na kupambana na RUSHWA? TAKUKURU= Taasisi ya Kukusanya na Kugawana Rushwa.

Nikitoa hayo majina ya waliopkea na kutoa rushwa nitawatajirisha wafanyakazi wa TAKUKURU tu
 
Basi endelea kulia lia mitandaoni
 

Tuliza jazba then nichambulie huku nako anafundisha Mexime?
 
Maxime ni DUKA kitambo, Nizar naye ni mchezaji wao Jangwani, walitegemea nini? Labda walichokosea wamelegeza sana πŸ˜‚



Mbeya City kacheza game 19, katika hizo kashinda game 4 tu...

Sasa kufungwa na Yanga ndio iwe kauza game kwa rekodi yake hiyo mbaya?

Wabongo hebu tuwe serious...
 
Kwahiyo Mbeya City timu zote 9 zilizomfunga ni halali kufungwa nao ila kwa Yanga sio halali mpaka atoe hongo kwasababu zipi?
 
Kwahiyo Mbeya City timu zote 9 zilizomfunga ni halali kufungwa nao ila kwa Yanga sio halali mpaka atoe hongo kwasababu zipi?
Halafu wanalia Lia kua hawaajiriwi na timu za nje ya Tanzania ..utaajiri matakataka kama haya yanayouza mechi kwa pesa mavi ..ambayo hata hayana vyeti, hayana uwezo hayajiendelezi, hawajitangazi, kazi KUPOKEA rushwa za gsm..Ina mana gsm akifa na wao wamekufa...
 
Rushwa inaendelea kutafuna mchezo wa soka..
Timu zinasajili na kulipa mishahara ya gharama kisha anajitoleza kocha kama Maxime anauza mechi.
Shenzi sana
 
Rushwa inaendelea kutafuna mchezo wa soka..
Timu zinasajili na kulipa mishahara ya gharama kisha anajitoleza kocha kama Maxime anauza mechi.
Shenzi sana
Barcelona aliwahi kufungwa 8-2 kocha alikua Mexime?
 
Barcelona aliwahi kufungwa 8-2 kocha alikua Mexime?
Usifananishe mbingu na ardhi.
Usifananishe mchezo wa soka unaochezwa barani Ulaya na huu wa kwetu uliojaa mipango.
 
mananihii ya zamani hayanuki!!

Mla mla leo, mla jana kala nini?
Pimbi wewe umeleta matokeo aliyofungwa Simba 5-0 au 5-1 na timu mbalimbali zamani. Mimi nimekuletea kubwa kuliko ya 6-0 anbayo Simba alimpiga Yanga (Sawa na malaya aliye pigwa pakiti 2 za condom), unalia unatoa sauti eti mavi ya kale hayanuki.

Wewe ni shoga tu unajuwa kunusa mavu, na unaingiliwa kavu kavu na Hersi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…