NetMaster JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 1,454 Reaction score 4,925 Nov 14, 2022 #1 Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.