Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania,
Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na usafishaji, ni champion wa miundombinu na biashara, ni champion wa michezo n.k
Kubwa kuliko sasa ni October,
dalili za wazi ni kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan, atakua ndio champion wa kitaifa katika uchaguzi mkuu wa vyama vingi nchini October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania