Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

Tanzania ukishakuwa rais hata kama nafasi hiyo uliipata Kwa mserererko wa urithi utaonekana kama wewe huwezi kukosea hata mara Moja.utapewa tuzo hata ya kula mboga nzuri
infact,
ni uhuru na haki ya kila kundi katika jamii na kila mTanzania mzalendo kuthamini na kutambua jitihada za kiongozi mkuu wa Taifa Dr.Samia Suluhu Hassan kadiri anavyoona inafaa.🐒
 
Infact,
hajawahi kufundisha lakini Dr.Samia Suluhu Hassan ndio champion wa elimu nchini.

Na hata October mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu, hakuna shaka yoyote Dr.Samia Suluhu Hassan atatangazea kua champion wa uchaguzi mkuu katika mchakato wa kidemokrasi akiwakilisha vyama vingine vya siasa kuunda serikali na kuongoza nchi 🐒
Ni champion wa Elimu au Champion wa comedy, according ya Hy Tuzo
 
Back
Top Bottom