Tuzo zote anapata kwa kushindana mwenyewe!Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania,
Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na usafishaji, ni champion wa miundombinu na biashara, ni champion wa michezo n.k
Kubwa kuliko sasa ni October,
dalili za wazi ni kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan, atakua ndio champion wa kitaifa katika uchaguzi mkuu wa vyama vingi nchini October mwaka huu 2025π
Mungu Ibariki Tanzania
π€£ π€£ π€£ πUna maana madam president is a comedian like Zelenskiy?
Astaghafirullah
π€£ π€£ π€£ πTuzo zote anapata kwa kushindana mwenyewe!
Alafu wasanii na na comedian wenzake wanampongeza!
Ujinga wa uji uji kipeuo cha 2!
mshindi hashindani gentleman,Tuzo zote anapata kwa kushindana mwenyewe!
Alafu wasanii na na comedian wenzake wanampongeza!
Ujinga wa uji uji kipeuo cha 2!
kama alivyokua ni champion wa utalii nchini, haina maana kwamba anatalii sana.Una maana madam president is a comedian like Zelenskiy?
Astaghafirullah
Infact,Kwani Hy Tuzo ,mh alishawahi kuchekesha mpk apewe
Binafsi sijaridhishwa na kichwa Cha uzi huu. Hasa hapo. Kwenye Champion of Comedy! Parekebishwe!Una maana....