Infact,
hajawahi kufundisha lakini Dr.Samia Suluhu Hassan ndio champion wa elimu nchini.
Na hata October mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu, hakuna shaka yoyote Dr.Samia Suluhu Hassan atatangazea kua champion wa uchaguzi mkuu katika mchakato wa kidemokrasi akiwakilisha vyama vingine vya siasa kuunda serikali na kuongoza nchi π