Sasa ushaur wa nn sisi tukupe!! nyie wanaume wa siku hiz mna matatzo sn, sasa mtu uchapiwe wew unataka tukupe sisi ushauri haya endelea nae ulee na mimba baba..
Mbna kizazi hiki mnakosa maamuz kwenye maisha yenu, mwanaume wa kwel ni yule anaeweza kufanya maamuz magumu kwenye maisha yake kwa manufaa yake au manufaa ya familia yake, hyo ni sifa kubwa ya m'ume.
Haya wew unatoka wap na upungufu wa sifa hyo.!! endelea nae ulee mimba wala usihangaike kutafuta ilikuaje. Maana we unasikiliza sn ushaur wa watu kuliko moyo wako..