Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Baada ya kurudi masomoni, nimemkuta na ujauzito, nifanyaje?

Huyo Ndio Mzuri Kuoa, Si Una Uhakika Kwamba Anazaa, Hapo Akifika Ndani Kazi Kwako.
 
Inaweza kuwa,ilikuwa inajishindilia
Hahahaa sikuhizi kuna mimba hadi zakichina mkuu watu wanauziwa mimba kiutaniutani tuu kumbe bomuuu. Ila huyu jamaa atakua hana akili sawasawa mtu umeondoka unarudi unamkuta ana mimba unaomba ushauri? halafu sio mkewe... mpenzi.. Mbona kawaida hiyo, hapo ashike 50 zake life goes on.
 
achana naye kuoa mwanamke aliyekwisha zaa ni mkosi
 
Sasa unamkuta mpenzi wako ana ujauzito wa miezi miwili halafu unakuja JF kuomba ushauri?

Sasa unataka tukiambie nini wakati jibu unalo?

Kilichokufanya uje uombe ushauri hapa ni nini?

uvivu wa kufikiri, kujielewa na kuamua.....wacha yamkute kwanza kasema alimuacha!!!
 
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.

Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.

Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili, tuliahidiana kuoana.

Naomba ushauri wenu wakuu

sasa mkuu hapa unaomba ushauri gani hivi tukukukwita ndondocha tutakuwa tumekosea basi ili ufurahi muoe tu ilikuwa bahati mbaya shetani alimpitia vipi umefurahi
 
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.

Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.

Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili, tuliahidiana kuoana.

Naomba ushauri wenu wakuu


Tatizo limetokea baada ya wewe kwenda chuo..sasa what goes around comes around...rudi tena chuo, kaa miezi kama 10 hivi, ukirudi nakuhakikishia hiyo mimba hutaikuta bali utamkuta kama ulivyomuacha mara ya kwanza ulipoondoka..na mtaoana na kuishi raha mstarehe..now go and do that kid!!!

Ukirudi ukakuta hiyo mimba bado ipo njoo unidai 250 grams of brain...zitakusaidia kufanya maamuzi
 
Yeye anasemaje?
Mlee mtoto. Ataweza kukufaa uzeeni.
 
Back
Top Bottom