Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa sikuhizi kuna mimba hadi zakichina mkuu watu wanauziwa mimba kiutaniutani tuu kumbe bomuuu. Ila huyu jamaa atakua hana akili sawasawa mtu umeondoka unarudi unamkuta ana mimba unaomba ushauri? halafu sio mkewe... mpenzi.. Mbona kawaida hiyo, hapo ashike 50 zake life goes on.Inaweza kuwa,ilikuwa inajishindilia
kwi kwi kwi kwi..
Sasa unamkuta mpenzi wako ana ujauzito wa miezi miwili halafu unakuja JF kuomba ushauri?
Sasa unataka tukiambie nini wakati jibu unalo?
Kilichokufanya uje uombe ushauri hapa ni nini?
Huyu hawezi kuwa Mwanaume mtu mzima. Lazima atakuwa kwenye early to mid twenties. Kama amejitahidi sana atakuwa kwenye late twenties.Samahani, kwani we una miaka mingapi? Tuanzie hapo then ntakushauri
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.
Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.
Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili, tuliahidiana kuoana.
Naomba ushauri wenu wakuu
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.
Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.
Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili, tuliahidiana kuoana.
Naomba ushauri wenu wakuu
Muoane tu!!!! kitanda hakizai haramu msamehe!!!
muowe tu usimwache usimwache ni ajali kazini