Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,530
Reaction score
3,422
Hahaha kwenye sherehe za miaka 48 ya ccm mwenyekiti alisema uchaguzi ujao nitawaletea wabunge wanaokubalika, alimaanisha waliopo hawakubaliki.

Wajiandae kisailolojia tu, mama anaandaa safu yake msishangae wagombea wakatoka Zanzibar.
 
Kuna yule waziri alifuta masomo ya biashara mwingine akaunga physcs with chemistry 😆😆😆😆😆
 
Kuna yule waziri alifuta masomo ya biashara mwingine akaunga physcs with chemistry 😆😆😆😆😆
Elimu inachezewa sana, kwa faida zao za kisiasa knowing wanaharibu future ya watoto wengin nchini
 
Back
Top Bottom