Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Ulipelekwa Birmingham?Gwajima anajua.
Elimu inachezewa sana, kwa faida zao za kisiasa knowing wanaharibu future ya watoto wengin nchiniKuna yule waziri alifuta masomo ya biashara mwingine akaunga physcs with chemistry πππππ
Du huyu jamaa anajiamini sana haogopi daraja la salendaNadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi .
View: https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P
View: https://youtube.com/shorts/FZzEW_UOf_s?si=wMXg9CC_KiJtYOvU
Tuvipinge kwa nguvu , muwe na siku njema .
Inahuzunisha kwa kweliElimu inachezewa sana, kwa faida zao za kisiasa knowing wanaharibu future ya watoto wengin nchini
Kama waziri anaweza toa tamko akabadilj mitaala bado tuko nyuma sanaElimu inachezewa sana, kwa faida zao za kisiasa knowing wanaharibu future ya watoto wengin nchini
HakikaDu huyu jamaa anajiamini sana haogopi daraja la salenda