GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah tena hii trend imekaa vizuri sana. Vijana wamehifadhi nguvu zao kwa ajili ya tarehe 8, huku wapinzani wao wakitakiwa kupambana ili kupata matokeo dhidi ya watata Coastal Union.Trend ya Yanga mzunguko wa 2, Leo akishinda nyingi mechi inayofuata chache ama sare, sasa Pamba wapo kwenye mzunguko wa chache na 5imba wapo kwenye nyingi
hapa mtani wangu wa makolo umechemka, na ninaamini ni kusudi!maana najua kabisa unafahamu PAMBA ni tawi lako!na mm kama YANGA kipindi kile cha Pamba ya kina Rwechungura, mshaki wako Hussein Masha, masatu, dani mhoja, madata lubigisa, mwanangu mwenyewe fumo felician, himid mao mkami ie ball dancer, alphonce modest etc, YANGA tulikua tunatseka sana mechi na Pamba!lkn ww ulikuwa unateseka sana mechi na toto Africa!so huyu pamba ni mwanao kabisaaaNa huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.