kapime ngoma kijanaSikutumia kinga wakuu.. Nilipiga goli moja tu..umri wangu ni 23 yrs
Stress sio nzuri kwa afya..,it will perish you in a minuteNatafuta nn tn? We hutaki niwe na wasi wasi?
Busara kidogo basi inahitajika. Mwenzio anahitaji msaada wa tatizo linalomsibu we umeshaconlude wakati si dokta. Hata dokta hakimbilii conclusion kama wewe mpaka afanye vipimo kwanza. Hili ni jukwaa la Great Thinkers. We Low Thinker umevamia sehemu isiyokuhusu...yaani wewe tayari una UKIMWI hizo ndizo dalili, wiki ijayo utaanza kuharisha alafu utarest in peace
Umenena vyema ndugu..Busa
Busara kidogo basi inahitajika. Mwenzio anahitaji msaada wa tatizo linalomsibu we umeshaconlude wakati si dokta. Hata dokta hakimbilii conclusion kama wewe mpaka afanye vipimo kwanza. Hili ni jukwaa la Great Thinkers. We Low Thinker umevamia sehemu isiyokuhusu...
Kwanini hukutumia Kondom?Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya joini...cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma..hali hhii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI..nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine
Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
Mambo ghani haya kumtishia mwenzio,toa ushauli siyo kuumizayaani wewe tayari una UKIMWI hizo ndizo dalili, wiki ijayo utaanza kuharisha alafu utarest in peace
We jamaa acha kumtisha mwenzio.yaani wewe tayari una UKIMWI hizo ndizo dalili, wiki ijayo utaanza kuharisha alafu utarest in peace
Mtu mwenyewe kapiga kimona it means dakika 5 to 10 so hajakamuliwa wala nini.....ashapata waduduDogo usiofu sana mwili wako unaonekana ujafannya mazoezi muda.. pia umekutana na washambuliaji odali wa jukwaa kakukamua vyakutosha ukazama na njaa za karine matokeo yake ndo hayo.
Sorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu naomba unijibu swali la mwishoNdio ilikuwa mara ya kwanza..niliishia goli moja.. Umri 23yrs