Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Sorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu naomba unijibu swali la mwisho

Je ID yako ya siku zote ni ipi? achana na hii mpya

ukijibi hili naku pm namba zangu uje hapa kairuki
yeah hii ndo ID yangu ya cku zote..ila nipo mza mkuu
 
Majibu ya wachangiaji wengi yamenichekesha sana. Usiogope huna tatizo lolote. Ulikuwa na uti muda mrefu ilikwa haijalipuka; uchovu wa mikikimikiki ya kugegeda ndio ikailipua. Hakikisha unatibiwa UTI vizuri na ukimaliza doz pima tena hadi iishe kabisa. Jifunze kukabiliana na UTI. Jitunze. Fanya ngono salama. Furahia na tunza maisha yako!
Ahsante kwa ushauri
 
dah , nyege mbaya sana , yaani umerisk kuukwaa UKIMWI kwa kupizi?
 
Mkuu, nenda kapime magonjwa ya zinaa..

Dalili za kuwashwa mwili, tena zitokanazo ni sex ni dalili za syphilis..

Pole Sana kiongozi, na huyu mwanamke, kama ni demu wako wa kudumu, please nenda kapime naye.

Ila kama ni wa kuokota tuu, please ukipata tiba husirudi tena kwake.
Sante kwa ushauri
 
Wewe itakuwa ulikuwa na maradhi mengine, ulipopiga game umeyaamsha, ni kama vile ukiwa si mtu wa mazoezi halaf una kihoma kinakufukuzia kimya kimya.. siku utakayoenda kupasha itaibuka homa ya kukulaza kitandani ushindwe kuelewa.


Hyo mosi, pili hvyo vichomi ni pande zipi za mwili, uchovu inategemea na game ilikuwaje na wewe uwezo wako ukoje.
nawashwa sana sana mikononi kwenye kiwiko pamoja na miguuni karibu na ugoko
 
Usiwe na wasi x2 inawezekana ulikuwa tayari na maambukizi ya uti sasa baada ya shughuli pevu ukaiamsha au huyo bidada ndiye kakuambukiza. Ushauri : mpeleke naye akapimwe na kupata dawa ili muwe salama na kuinjoy bibo
Ahsante mkuu
 
Pole, zingatia matumizi ya condom zama hizi si za kuaminia kirahisi, kuna magonjwa kibao ya zinaa
 
Back
Top Bottom