- Thread starter
- #41
yeah hii ndo ID yangu ya cku zote..ila nipo mza mkuuSorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu naomba unijibu swali la mwisho
Je ID yako ya siku zote ni ipi? achana na hii mpya
ukijibi hili naku pm namba zangu uje hapa kairuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah hii ndo ID yangu ya cku zote..ila nipo mza mkuuSorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu naomba unijibu swali la mwisho
Je ID yako ya siku zote ni ipi? achana na hii mpya
ukijibi hili naku pm namba zangu uje hapa kairuki
Hapana mkuuNi mkeo?
Tuanzie hapo ili nikusaidie.
Ahsante kwa ushauriMajibu ya wachangiaji wengi yamenichekesha sana. Usiogope huna tatizo lolote. Ulikuwa na uti muda mrefu ilikwa haijalipuka; uchovu wa mikikimikiki ya kugegeda ndio ikailipua. Hakikisha unatibiwa UTI vizuri na ukimaliza doz pima tena hadi iishe kabisa. Jifunze kukabiliana na UTI. Jitunze. Fanya ngono salama. Furahia na tunza maisha yako!
Sante kwa ushauriMkuu, nenda kapime magonjwa ya zinaa..
Dalili za kuwashwa mwili, tena zitokanazo ni sex ni dalili za syphilis..
Pole Sana kiongozi, na huyu mwanamke, kama ni demu wako wa kudumu, please nenda kapime naye.
Ila kama ni wa kuokota tuu, please ukipata tiba husirudi tena kwake.
nawashwa sana sana mikononi kwenye kiwiko pamoja na miguuni karibu na ugokoWewe itakuwa ulikuwa na maradhi mengine, ulipopiga game umeyaamsha, ni kama vile ukiwa si mtu wa mazoezi halaf una kihoma kinakufukuzia kimya kimya.. siku utakayoenda kupasha itaibuka homa ya kukulaza kitandani ushindwe kuelewa.
Hyo mosi, pili hvyo vichomi ni pande zipi za mwili, uchovu inategemea na game ilikuwaje na wewe uwezo wako ukoje.
Hasa hasa mikononi karibu na kiwiko pamoja na kwenye miguu kwa chiniUnawashwa sehem gani ya mwili
Ahsante mkuuUsiwe na wasi x2 inawezekana ulikuwa tayari na maambukizi ya uti sasa baada ya shughuli pevu ukaiamsha au huyo bidada ndiye kakuambukiza. Ushauri : mpeleke naye akapimwe na kupata dawa ili muwe salama na kuinjoy bibo
Hahahahulikula bila kunawa?
ndo ukoje huo mkuu?Nahisi ni utofauti wa dam
Sante kwa ushaurKacheki pia mchafuko Wa damu
Hata me nakubaliana na wewKwamba amekuroga ama?? Hehehe kapime homa ya ini