Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Busa

Busara kidogo basi inahitajika. Mwenzio anahitaji msaada wa tatizo linalomsibu we umeshaconlude wakati si dokta. Hata dokta hakimbilii conclusion kama wewe mpaka afanye vipimo kwanza. Hili ni jukwaa la Great Thinkers. We Low Thinker umevamia sehemu isiyokuhusu...
Inakera Mtu anapoleta utani kwenye suala la usirias mkuu,Mtu anahitaji ushauri kama Mtu hana ushauri ni bora akapita kimya kimya,kuliko kuleta majibu ya ki Fb
 
Either ulikaa mda mrefu bila kupiga au umepiga mimba au ume...
 
Mkuu upo salama,wala usihofu,muhimu kapime mchafuko wa damu au una msongo wa mawazo
 
Iyo ni hepatitis B kapime Kama unayo wambie wambie wakuchome pentavalent vaccine bega la kushoto cc 1 kish kaa siku mbili ndo upime tena Kama ipo bado choma tena mpk apo doz umefinish
 
Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma

Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine

Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
kapime damu kubwa.uanze dozi mapema
 
Dah.... Kibao kimoja tu? Tena una 23yrs.....tena ulipiga kavu.bila kimung'unya maneno....huu si ushujaa...ni ujinga tu..pole sana[emoji87]
 
Aiyyyaaaaa, atakua kashakuambukiza hilo tatizo jingine hilo...inabidi ukapime tatizo jingine aisee, dah!
 
Mkuu upo salama,wala usihofu,muhimu kapime mchafuko wa damu au una msongo wa mawazo
kwa kweli baada ya kuamka siku iliyofuata niliingiwa na hofu pamoja na mawazo karibu wiki nzima... nadhani hata mawazo inaweza kuwa sababu
 
kwa kweli baada ya kuamka siku iliyofuata niliingiwa na hofu pamoja na mawazo karibu wiki nzima... nadhani hata mawazo inaweza kuwa sababu
Nina imani msongo wa mawazo ndiyo unaokuathiri mkuu mkuu,jaribu kuupotezea hiyo hali na ubaki unajiamin kama mwanzo,japo nnaamin hiyo hali haiwez kukuondoka kwa haraka,ila itakuwa taratibu tu
 
Hamnaa kitu ngumu kama kupiga ile shughulii kama unakuwa na kimalariaa ndan ndan ukapigaa mzigo ni rahis kutibukaa na kama umekutana na uti ndo hatari kabisa
ile shughuli wakati mwingine ni kipimo tosha kwangu juu ya marelia. maana kama nna marelia miguu na maungio yote inalegea si kidogo
 
ile shughuli wakati mwingine ni kipimo tosha kwangu juu ya marelia. maana kama nna marelia miguu na maungio yote inalegea si kidogo
Na ndo mpaka upate dawa kamil ya maleria au ugonjwa husika ile kitu nikipimo pia cha mwili kama una kalikejii mahali utapataa tuu signal[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom