Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,645
Inakera Mtu anapoleta utani kwenye suala la usirias mkuu,Mtu anahitaji ushauri kama Mtu hana ushauri ni bora akapita kimya kimya,kuliko kuleta majibu ya ki FbBusa
Busara kidogo basi inahitajika. Mwenzio anahitaji msaada wa tatizo linalomsibu we umeshaconlude wakati si dokta. Hata dokta hakimbilii conclusion kama wewe mpaka afanye vipimo kwanza. Hili ni jukwaa la Great Thinkers. We Low Thinker umevamia sehemu isiyokuhusu...
Au mkuu ni stress ndiyo unayo?nawashwa sana sana mikononi kwenye kiwiko pamoja na miguuni karibu na ugoko
calm down!! huyu kijana anaomba kushauriwa au kutiwa moyo sio kukatishwa tamaa!!Umepata UKI.mwe
kapime damu kubwa.uanze dozi mapemaNilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma
Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine
Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
jamani dogo atajiua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole braza dalili za kuambukizwa ukimwi hiyo
kwa kweli baada ya kuamka siku iliyofuata niliingiwa na hofu pamoja na mawazo karibu wiki nzima... nadhani hata mawazo inaweza kuwa sababuMkuu upo salama,wala usihofu,muhimu kapime mchafuko wa damu au una msongo wa mawazo
Au mkuu ni stress ndiyo unayo?[/QUO
SanteUchovu tu utakuwa poa soon
Nina imani msongo wa mawazo ndiyo unaokuathiri mkuu mkuu,jaribu kuupotezea hiyo hali na ubaki unajiamin kama mwanzo,japo nnaamin hiyo hali haiwez kukuondoka kwa haraka,ila itakuwa taratibu tukwa kweli baada ya kuamka siku iliyofuata niliingiwa na hofu pamoja na mawazo karibu wiki nzima... nadhani hata mawazo inaweza kuwa sababu
Kwani ukikaa muda mrefu ndo unakuwajeEither ulikaa mda mrefu bila kupiga au umepiga mimba au ume...
ile shughuli wakati mwingine ni kipimo tosha kwangu juu ya marelia. maana kama nna marelia miguu na maungio yote inalegea si kidogoHamnaa kitu ngumu kama kupiga ile shughulii kama unakuwa na kimalariaa ndan ndan ukapigaa mzigo ni rahis kutibukaa na kama umekutana na uti ndo hatari kabisa
Na ndo mpaka upate dawa kamil ya maleria au ugonjwa husika ile kitu nikipimo pia cha mwili kama una kalikejii mahali utapataa tuu signal[emoji23][emoji23]ile shughuli wakati mwingine ni kipimo tosha kwangu juu ya marelia. maana kama nna marelia miguu na maungio yote inalegea si kidogo