Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

Chai
 
Hahaha 49 yrs anasma eti ni Mkaka?
 
Wengi watapinga Ila ukweli ni kwamba mwanamke yeyote. anataka pesa,

Ngoja niwaambie kitu kilichonikuta Mimi,

Mwakajuzi yaani 2022 nilivutiwa na mwanamke mmoja ambaye kwangu nilimuona ni mtulivu mno akiwa ni single mama wa muda mrefu baada ya kuachana na mumewe hivyo akawa yupo Tu na mishe zake.

Ni mama mtu mzima mwenye hekima zake na ni mshauri mzuri mnooo. Mwanzo alikuwa kama rafiki Tu,Ila kwakuwa hakuna urafiki Kati ya Simba na swala nikajikuta nimefunguka ninayoyajua.ni mtu kanizidi wadhifa na kipato mara ngapi sijui

Siku za mwanzo alisita Ila baadaye akakubali huku akidai ni vyema tutoke nje ya mkoa ndipo tutaweza kuwa huru zaidi akidai huu mji kuna wengi anaheshimiana nao.

Basi Mimi nikiwa kama Alfa nikajikusanya na kuandaa wallet ambayo itakidhi misafara huku nikifikiri hata yeye atajiongeza maana ni Malkia wa nguvu mjini akiwa na Mshahara mnono kabisa .

Basi nikiwa nishajipanga na safari ya kuelekea mkoa X akaniambia kaghairi kwenda mkoa huo na hataki kusafiri na Gari Kwa muda mrefu ,akasemq nikitaka, tupange siku nyingine twende nchi jirani Kwa flight.

Nilichukia Sana baada ya kuahirisha safari Ila nilikuwa mvumilivu maana sikutaka kumkosa ingekuwa dharau ni Bora nisingemtamkia namtaka.

Ila kilichonipa Imani ni baada ya yeye kunipa Imani kuwa gharama za usafiri HAZITASUMBUA "

Nikaona siyo kesi ,nikaandaa wallet nyingine inayoendana na sehemu tunapoenda.

Siku hazigandi, siku ilifika tukafika nchi jirani huku nikifurahia Ile safari,kwanza nikubadili mazingira, pili nilikuwa naenda Kula Mali ambayo ina ushawishi hapa nchini

Kumbukeni Mimi napenda mtu ambaye ana fame ndiyo ugonjwa wangu,Haswa wakiwa kwenye hizi Idara.

Basi mwanamke alikuwa mjanja Sana ,akawa kila kitu nitafute cha bei rahisi
Yaani kuanzia Hotel tutayolala na hata Restaurants akasisitiza zisiwe expensive.

Nikaona huyu anajitambua,
Tukiwa tupo kwenye Gari ndogo tuliyokodi kwaajili ya mizunguko yote aliniuliza .

Daniel unanipenda?
au Una tamaa tu ,maana wanaume nyinyi hamueleweki lengo unitumie kisha unibwage.

Nikamjibu kuwa vitendo vyangu vitaonesha ni jinsi gani nampenda ,nikajigamba kuwa Mimi siyo mvulana eti nimuongopee. ( Hapa nilijaa kwenye mtego)

Alijibu Kwa kutikisa kichwa kisha akachukua mkono wangu na kuubusu.
Nilisisimka mno tamaa ya ngono ilikuwa kiwango cha juu.

Tulifanya yetu ndani ya siku tano tukaenjoy lakini cha kushangaza mama wa watu hakutoa hata Mia mbovu licha ya kunihakikishia ataclear.

Baada ya Mimi kuona mizigo inapungua ikabidi nimchane kuwa Mimi sina kitu kama tunataka kuendelea ili ifike wiki moja kama tulivyopanga basi asolve baadhi ya vitu.

Akanijibu mbona aliuliza tangu mwanzo, nampenda? Akasema kama kuna pesa nimepungukiwa ,atanikopesha Kwa makubaliano maalumu.

Aisee ilikuwa siku mbaya ,nikasema basi tugeuze hata kabla siku tulizopanga hazijafika ,akasema sawa huku akinilaumu eti kwanini nilitengeneza safari ikiwa sina bajeti ya kutosha?

Nikamwambia siyo kesi ,wewe nikopeshe nikirudi nitakupa lengo nimdhulumu nikijua nikirudi hatonipata weeeeee.
Kuna wamama Wana nguvu na tagi hapa mjini usithubutu,

Nusura yanitokee puani,nyie endeleeni Tu na umalaya
 
Hili sio jambo jipya labda kwa mgeni wa jiji..
 
44years unahitaji moja kwa moja pesa ya kula kutoka kwa mwanaume , shame on you!!!

Omba ata ela ya mtaji dad yangu japo ilipaswa ata akukute na biashara.
Ndonilichoshangaa aisee unapewaje elfu2 kwa umri huo
 
Malizia mkanda mkuu Ili watu waendelee kujifunza,mana mm nikiletaga apa majobless utaskia chai chai,sijui yanakuaga na njaa Kali ndo mana yanataja chai Kila mda🤷🏽‍♂️😂😂😂
 
Ha ha ha ha nimempenda bure huyo mama mpe maua yake
 
Shukuru wenzio wanaliwa bure kabisa hata buku hawapewi.
 
Malizia mkanda mkuu Ili watu waendelee kujifunza,mana mm nikiletaga apa majobless utaskia chai chai,sijui yanakuaga na njaa Kali ndo mana yanataja chai Kila mda🤷🏽‍♂️😂😂😂
Watoto wadogo hao achana nao,
Yaani mtu Utunge stori ili ikusaidie nini ,
Tatizo letu linalotufanya tuwe na hasira ni kipato kidogo na kutokuwa na uhakika wa maisha
 
Wazee wa 40+ wakachapana usiku kucha🤣🤣🤣🤣
 
Ndio huyo kwenye picha? Kama mzuri nitumie namba inbox watunzaji tupo
 
Kwani alitaka apewe shilingi kwa bao moja au kwa usiku mmoja?
 
Tena nilikoma Kwanza wanataka kubembelezwa sana,pili ni wazito,wavivu hii ni kutokana umaarufu wao
Upo sahihi kabisa, uwape priority kwa kila kitu, sex apange yeye tena ratiba akupe yeye, pamoja na hizo pesa zake lakini huduma utatoa wewe, shida sio kutoa huduma, ni lazima uitoe kwa viwango vya juu(standard zake).

Huo undezi nani anautaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…