Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

Duuh pole sana, alipiga bao ngapi? Hebu muanike hapa tumtafutie cheo haraka kwenye chama chetu. Inaonekana ni mhudhuriaji mzuri wa vikao vyetu
 
Naomba namba yako mi ntakulipa elfu 4
 
Habari Yako kaka magical power View attachment 3159935Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.

Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada mpaka walivyoachana

Kweli tukasex usiku kucha baada ya hapo alinipa sh 2000 elf 2 tu🙊nikapokea vizur tu

Baada ya kupita siku kadhaa nikamuomba anisaidie pesa ninnue vyakula vya ndani ananiambia sawa jumnne nitakuja nikuletee sababu aliniambia yeye ni mfanyabiashara.

Basi jumanne akanichatisha tukachat akaniambia tutaonana saa kumi ilipofika saa kumi na mimi nikamuacha tu saa kumi na mbili akanichatisha akauliza uko wp nikamjibu nipo nyumbani akasema nimechelewa kurudi ndio natoka bagamoyo nikamjibu sawa.

Kesho yake akanichatisha hakuongelea juu ya pesa niliyoomba jana akanichatisha kunisalimia nikamjibu kwetu huku njaa ukizingatia tumesimama hatufanyi kazi kkoo akasema sawa ntakutumia elf tano nikasema mungu akubaliki ilipofika jioni kanichtisha akasema mvua inanyesha sana so hakutuma hiyo elf tano.

Leo kanisalimia anasema kitovu kinamuuma je haya mahusiano ni sahihi kwangu?

Naomba msaada wako kujua😭
Kwa hiyo sexual activity is equal to these other legal economic activites that people do to make their ends meet ?
 
🤣 Huyo jamaa anatumia akili Mnemba
 
Ungedeclare unauza ukaweka bei mezani. Angebargain mngeishia hata laki😅
 
Hivi ni sahihi mwanaume wa miaka 49 kuitwa mkaka instead of mzee wa miaka 49
 
49 years sio mkaka uyo ni m'babu
Na 44 ni mbibi
Inshort nyie ni vikongwe watarajiwa mnapasha makabichi tu.
 
Habari Yako kaka magical power View attachment 3159935Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.

Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada mpaka walivyoachana

Kweli tukasex usiku kucha baada ya hapo alinipa sh 2000 elf 2 tu🙊nikapokea vizur tu

Baada ya kupita siku kadhaa nikamuomba anisaidie pesa ninnue vyakula vya ndani ananiambia sawa jumnne nitakuja nikuletee sababu aliniambia yeye ni mfanyabiashara.

Basi jumanne akanichatisha tukachat akaniambia tutaonana saa kumi ilipofika saa kumi na mimi nikamuacha tu saa kumi na mbili akanichatisha akauliza uko wp nikamjibu nipo nyumbani akasema nimechelewa kurudi ndio natoka bagamoyo nikamjibu sawa.

Kesho yake akanichatisha hakuongelea juu ya pesa niliyoomba jana akanichatisha kunisalimia nikamjibu kwetu huku njaa ukizingatia tumesimama hatufanyi kazi kkoo akasema sawa ntakutumia elf tano nikasema mungu akubaliki ilipofika jioni kanichtisha akasema mvua inanyesha sana so hakutuma hiyo elf tano.

Leo kanisalimia anasema kitovu kinamuuma je haya mahusiano ni sahihi kwangu?

Naomba msaada wako kujua😭
Mimama ya Dar inapitia wakati mgumu sana! Yaani miaka 44 anaomba hela ya mboga? Elfu 2 mara elfu 5 na anatoa na baraka!
 
Maisha ni magumu sana huku mtaani sishangai we kupewa 2000 huenda jamaa nae pake pakavu kuliko hata kwako
Na sishangai kuomba 5000 kwa udi na uvumba ground mambo yanazidi kuwa hatari
Ila kusema mkasex usiku kucha huku mkiwa ni wazee wa taifa hili sio kweli
Mlipiga 2 vyenu mkaanza kuilaumu serikali
Kuna mizee inapuliza mpaka wamama wanaombapo! Vijana hawaon ndani na vijana wenyewe ndio hawa wala chips dume!
 
Back
Top Bottom