Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

Habari Yako kaka magical power View attachment 3159935Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.

Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada mpaka walivyoachana

Kweli tukasex usiku kucha baada ya hapo alinipa sh 2000 elf 2 tu🙊nikapokea vizur tu

Baada ya kupita siku kadhaa nikamuomba anisaidie pesa ninnue vyakula vya ndani ananiambia sawa jumnne nitakuja nikuletee sababu aliniambia yeye ni mfanyabiashara.

Basi jumanne akanichatisha tukachat akaniambia tutaonana saa kumi ilipofika saa kumi na mimi nikamuacha tu saa kumi na mbili akanichatisha akauliza uko wp nikamjibu nipo nyumbani akasema nimechelewa kurudi ndio natoka bagamoyo nikamjibu sawa.

Kesho yake akanichatisha hakuongelea juu ya pesa niliyoomba jana akanichatisha kunisalimia nikamjibu kwetu huku njaa ukizingatia tumesimama hatufanyi kazi kkoo akasema sawa ntakutumia elf tano nikasema mungu akubaliki ilipofika jioni kanichtisha akasema mvua inanyesha sana so hakutuma hiyo elf tano.

Leo kanisalimia anasema kitovu kinamuuma je haya mahusiano ni sahihi kwangu?

Naomba msaada wako kujua😭
Daraja la Saba wako nyumbani wanasubiri kuanza kidato Cha kwanza hapo January. Post kama hizi tuzivumilie tu, mpaka hapo watakapofungua shule
 
Habari Yako kaka magical power View attachment 3159935Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.

Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada mpaka walivyoachana

Kweli tukasex usiku kucha baada ya hapo alinipa sh 2000 elf 2 tu🙊nikapokea vizur tu

Baada ya kupita siku kadhaa nikamuomba anisaidie pesa ninnue vyakula vya ndani ananiambia sawa jumnne nitakuja nikuletee sababu aliniambia yeye ni mfanyabiashara.

Basi jumanne akanichatisha tukachat akaniambia tutaonana saa kumi ilipofika saa kumi na mimi nikamuacha tu saa kumi na mbili akanichatisha akauliza uko wp nikamjibu nipo nyumbani akasema nimechelewa kurudi ndio natoka bagamoyo nikamjibu sawa.

Kesho yake akanichatisha hakuongelea juu ya pesa niliyoomba jana akanichatisha kunisalimia nikamjibu kwetu huku njaa ukizingatia tumesimama hatufanyi kazi kkoo akasema sawa ntakutumia elf tano nikasema mungu akubaliki ilipofika jioni kanichtisha akasema mvua inanyesha sana so hakutuma hiyo elf tano.

Leo kanisalimia anasema kitovu kinamuuma je haya mahusiano ni sahihi kwangu?

Naomba msaada wako kujua😭
Kivu kinamuuma😂😂
 
Back
Top Bottom