Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi.
Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare.
Loren Japhet alipeleka malalamiko yake kwenye Baraza la michezo la taifa (BMT) na Baraza baada ya kujiridhisha vizuri hatimaye wakatengua ushindi wa Juma Choki na kutoa sare .
Sasa kuna hili pambano la juzi kati dhidi ya Nasibu Ramadhan ,hili pambano nalo limejaa utata wengi wanaamini Loren ameshinda.
Loren hajasita kupeleka malalamiko yake kwenye Baraza la michezo la taifa BMT kwa mara nyingine tena hivyo tunatarajia majibu mazuri kutoka BMT .