Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

Kuhusu za askari waliokufa na kujeruhiwa hilo sina hakika BUT kwamba askari wa Israel hawataki mbungi iendelee, hili nadhani sio la kweli, uongo
Israel hii ndo vita ndefu amepigana serious kwa muda mrefu maana wao wanapend kuwaonea majirani zake kwa kuwa hawana ndege air defence na hawataki waww nazo akishambulia mara moja anaondoka
 
Askari 75000 wa israel waliuawa au kujeruhiwa vita vya Gaza,na nusu ya reserve hawataki kwenda kuhudumu jeshini(yedioth ahronoth,hareetz)..hakuna anayetamani mbungi iendelee
We jamaa ni muongo kama baba yako shetwani askari 75000 Hamas na ndugu zao Hezbollah si wangekuwa sasaivi Tell aviv na Haifa wakipiga takbirrrrr. Siku nyingine andika ukisha futuru
 
Israel hii ndo vita ndefu amepigana serious kwa muda mrefu maana wao wanapend kuwaonea majirani zake kwa kuwa hawana ndege air defence na hawataki waww nazo akishambulia mara moja anaondoka
This time Israel 🇮🇱 kapigana sio tu na Hamas, kapigana na nchi ya Lebanoni kwa Hezbollah, Iran, Syria, Yemeni so ni kweli kapigana muda mrefu lakini pia kwa majeshi kadhaa yenye nguvu middle east.
 
This time Israel 🇮🇱 kapigana sio tu na Hamas, kapigana na nchi ya Lebanoni kwa Hezbollah, Iran, Syria, Yemeni so ni kweli kapigana muda mrefu lakini pia kwa majeshi kadhaa yenye nguvu middle east.
kapigana tu kichwa ngumu lakini ushindi hajaupata
 
Hizo takwimu umezipata wapi? Na Mbona hujatupa takwimu za Magaidi wa Hamas wamekufa wangapi? Au wao habari?
 
Yote ni uongo mtupu uliona wapi askari Kalata kwenda vitani?? Adhabu yake ni kifo nani a Napenda? Hizo ni Propaganda za magazeti tu. Vita itapiganwa tu Maanamu Hamas wapo!!!
 
Kama askari wa Israel wangekuwa wamegoma katikati ya mapigano huko Gaza basi Gaza isingekuwa vifusi mtupu!!
Vifusi ni ndege mostly,na si kwamba waligoma wote,lakini leo 50% ya reserve hawataki kuhudumu jeshini
 
Kama askari wa Israel wangekuwa wamegoma katikati ya mapigano huko Gaza basi Gaza isingekuwa vifusi mtupu!!
Ni askari wa kuruka angani hao kwa kujua Hamas hawana ndege wala makombora ya kutungulia ndege kama hizo.Ama kwa upande wa bunduki kwa bunduki na mtaa na shimo kwa shimo askari wa Israel hawataki hiyo vita.
 
Vifusi ni ndege mostly,na si kwamba waligoma wote,lakini leo 50% ya reserve hawataki kuhudumu jeshini
Tumia akili yako vizuri hakuna majeshi yeyote anaweza kukubali ujinga huo hizo ni Propaganda za waarabu Toka vita vianze waarabu wanapigwa vizuri tu hatujaona mapungufu yoyote Hamas wamepigwa,Hezbollah nao wamepigwa vizuri sana mpaka uongozi wao wa juu wote waliuwawa akiwemo Gaidi namba moja Hassan Nasrallah Houthi nao walikipata cha moto bandari yao ya Hodeidar iliangamizwa na Bwana wao Iran naye anajua kielichom kuta na ndiyo maana sasa hivi amebaki Kubwabwaja tu kama mtoto.
 
Ni askari wa kuruka angani hao kwa kujua Hamas hawana ndege wala makombora ya kutungulia ndege kama hizo.Ama kwa upande wa bunduki kwa bunduki na mtaa na shimo kwa shimo askari wa Israel hawataki hiyo vita.
Nani alikudanyanya hivyo au ndiyo mnayoiita ninyi TAQIYYAH? Mnasema uongo kwa ajili Mnyazi-mungu wenu?. Kwa taarifa yako tu Israel waarabu bado sana sana tu. Wameshindwa kuiweza Israel kwa kipindi hiki sasa Basi inabidi wasubiri sana tu.
 
Screenshot_2025-03-14-20-19-51-99_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Nimeishia kusoma kichwa cha habari tu, "some Israel soldiers" hadi hapo nimejiridhisha kwamba wewe sio mtu makini. Wapi duniani watu wote huaga wanakubaliana kwa jambo lolote? Some lazima wabishe, kuwe na upinzani, ndio dunia ilivo. Libya ya Gadafi walikua wanaishi maisha ya bure but ni raia wake na some soldiers ndio walimsariti hadi kupelekea KIFO chake, hao some soldiers wapo everywhere in the world ambao huaga hawakubaliani na viongozi wao, wapo Iran, Saudia, Israel, USA hata Tanzania as well, ukiona watu wote wanakubaliana na wewe kwa 💯 then ujue unaongoza wanyama, sio watu, some must protest
 
Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita,
Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu.
Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja na ujenzi wa uwanja mpya wa ndege ambapo sasa wapalestina chini ya mamlaka yao watakuwa huru kuingia na kutoka nchini mwao.
Mpango huo tayari umepelekwa kwa raisi Trump kupitia mjumbe wake wa mambo ya nje.Alipoulizwa kuhusiana na mpango huo ambao unapingana na kitisho chake chake cha awali cha kuifanya kivutio cha utalii,Trump amesema hakuna ambaye ana nia ya kuwahamisha watu wa Gaza.
View attachment 3268791
Screenshot_20250315_094402.jpg
 
Back
Top Bottom