Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Kwa sababu hujawahi kuswali hujui kinachotokea hapo.
Hao wako kwenye swala ya tarawehe.Imamu anatiririka msahafu mzima kwa kichwa tu.
Kwa vile uislamu ni dini makini ya kutenda na kufuatiliwa.Hao maamuma wameamua tu kuangalia kwenye nakala za Qur'an kwenye simu zao ili akikosea hata nukta tu wamkumbushe.